Swahili historia pdf

Post a Comment. Home About Contact. Historia ya riwaya ulimwenguni haina muda mrefu sana hasa inapolinganishwa na historia ya tanzu nyingine za fasihi kama vile ushairi, tamthiliya, na fasihi simulizi. Riwaya ya Kirusi nayo ilijitokeza zaidi wakati huo huo. Historia ya riwaya ya Kiswahili nayo haikupishana sana na hali hiyo ya kutanguliwa na tanzu nyingine za fasihi, ingawa kwa hakika imejitokeza mapema zaidi kabla ya tamthiliya za Kiswahili. Tofauti kubwa kati ya riwaya ya Kiswahili na riwaya za Ulaya ni kwamba yenyewe imeanza kujitokeza mwishoni mwa karne ya kumi na tisa.

Zaidi ya hilo, riwaya ya Kiswahili imekuwa na maendeleo tofauti kabisa hasa kwa vile imeanza kukua kutokana na hadithi zilizotokana na fasihi simulizi.

Pamoja na kutanguliwa na tanzu nyingine kama vile ushairi, ambao historia yake ni ndefu sana, historia ya riwaya, kwa haraka mno imepitia hatua tofauti nakukua kiasi ambacho hivi sasa umaarufu wake umezidi ule wa tanzu nyingine kwa klwango kikubwa sana. Ikiangaliwa katika wakati wake wa sasa, riwaya ya Kiswahili inaonckana kuwa imetajirika sana upandc wa dhamira, muundo, ujenzi wa wahusika na hata kwa idadi.

Ni utanzu ambao kwa upana na undani zaidi umeweza kuzingatia nyanja tofauti za maisha kama vile uchumi, siasa, utawala na maisha ya jamii kwa jumla. Riwaya ya Kiswahili imeweza kuvuka mipaka ya nchi na hata kwenda nje ya Afrika Mashariki. Sababu za maendeleo kama hayo zitajitokeza wakati wa kujadili vipindi tofauti vya historia ya riwaya ya Kiswahili. Mojawapo ya sababu kubwa ambayo inaweza kutajwa hapa ni ongczeko la watu wanaoweza kusoma na kuandika.

Historia ya riwaya ya Kiswahili imeangaliwa katika sura tofaati na wataalamu na watafiti mbalimbali. Wapo wale ambao wameiangalia pamoja na historia ya fasihi ya Kiswahili kama vile Rollinsna wapo ambao wamegusia uandishi wa hadithi za Kiswahili kama vile Balisidya NRollinsOhlySenkorona wengine. Kuhusu historia ya riwaya wapo wataalamu tofauti ambao wameiangalia historia hiyo katika sura tofauti.

Baadhi wanaiangalia historia hiyo kuanzia mwishoni mwa karne ya kumi na tisa. Wataalamu hawa, ikiwa ni pamoja na Rajmund Ohly wanaiangalia historia ya riwaya ya Kiswahili kuanzia wakati wa Edward Steere, ambaye mwaka alikusanya simulizi za wenyeji wa Zanzibar na kuzihariri. Hadithi hizi zilikusanywa na kuandikwa kwa lugha ya Kiingereza. Wataalamu kama hawa wanaiangalia historia ya riwaya kuanzia kwenye chanzo chake na vilevile kuanzia kwenye hatua za mwanzo katika maendeleo yake.

Senkoro anadai kuwa:. Dai hili linaweza kupambana na dai la Kezilahabi kuwa waandishi wa Kiswahili sio lazima wawe Waswahili na pia suala la Mswahili ni nani.

swahili historia pdf

Dai hilo kuhusu Mbotela limepingwa na Shariff ambaye haamini kuwa kazi hiyo imeandikwa hasa na Mbotela na kuwa mawazo mengi hapo sio ya Mswahili. Shariff anasema:.Historia ya Kiswahili imeanza takriban miaka iliyopita kwenye pwani ya Afrika ya Mashariki.

Kiswahili kilianza kama lugha ya miji na ma bandari ya biashara ya kimataifa kwenye pwani ya Afrika ya mashariki. Tuna historia jinsi gani miji kama vile KilwaLamu na mingine kadhaa ilianzishwa na wafanyabiashara Waarabu au Wajemi waliooa wenyeji.

Idadi ya wahamiaji kutoka Uarabuni haikuwa kubwa sana, hivyo lugha ya wenyeji ilitumika kila mahali ila tu maneno mengi yameingia kutoka Kiarabu. Utamaduni mpya ulijitokeza uliokuwa wa Kiafrika na wa Kiislamu ukajielewa kuwa sehemu ya dunia ya Uislamu. Hivyo Kiswahili kilizaliwa kuwa lugha ya Kibantu kilichopokea maneno mengi ya asili ya nje. Lugha iliandikwa kwa herufi za Kiarabu tangu karne ya 13 BK.

Kwa bahati mbaya leo hatuna tena maandiko ya kale sana, kutokana na hali ya hewa kwenye pwani isiyosaidia kutunza karatasi na kurasa zenyewe zinaweza kuoza kutokana na unyevu hewani pamoja na wadudu wengi walioko katika mazingira ya pwani. Lakini maandiko ya kale yanayopatikana kutoka karne ya 17 huonyesha ya kwamba tenzi na ma shairi vinafuata muundo uliotangulia maandiko yenyewe kwa karne kadhaa.

Sehemu kubwa ya maandiko ya kale ni tenzi yaani mashairi yenye aya ma elfu.

HISTORIA YA RIWAYA YA KISWAHILI PDF, the history of Swahili Novel

Tenzi ndefu kabisa inahusu kifo cha Mtume Muhamad ikiwa na aya 45, Kiswahili kimepokelewa kirahisi na wenyeji kwa sababu walikosa lugha ya pamoja kati yao, lugha za Kibantu ziko karibu sana na athira ya Kiarabu ilikuwa kilekile kote pwani.

Haya yote yalisaidia kujenga umoja wa Kiswahili katika eneo kubwa la pwani ya Afrika ya Mashariki. Kiajemi pia kilichangia maneno mbalimbali, kama vile " bibi " na " cherehani ". Kufika kwa Wareno huko Afrika ya Mashariki kuanzia mwaka kulileta athira mpya ikiwa maneno kadhaa ya Kireno yameingia katika Kiswahili kama vile " bendera ", " gereza " na " meza ". Kuwepo kwa wafanyabiashara Wahindi katika miji mikubwa ya pwani kuliingiza pia maneno ya asili ya Kihindi katika lugha kama vile " lakhi ", " gunia " n.

Athira ya lugha za Kihindi iliongezeka kiasi baada ya Waingereza kutumia Wahindi wengi kujenga reli ya Uganda. Kiswahili kilitumika kama lugha ya biashara baina ya watu wa pwani na bara katika kanda ndefu sana kutoka Somalia hadi Msumbiji wa Kaskazini. Wafanyabiashara Waswahili waliendeleza biashara ya misafara hadi Kongo. Kiswahili kiliendelea kuenea kwenye njia za misafara hii. Kila msafara ulihitaji watu ma mia hadi maelfu wa kubeba mizigo ya biashara kutoka pwani hadi pale msafara ulipolenga hata Ziwa Tanganyika.

Watu hawa wote walisambaza matumizi ya Kiswahili katika sehemu za ndani. Lakini katika maeneo fulani biashara hii ilijenga pia kizuizi. Watu kama Waganda waliona Kiswahili ni lugha ya Waislamu tena lugha ya biashara ya watumwa ; hivyo hadi leo ni wagumu kukubali Kiswahili.

Karne ya 19 ilileta utawala wa kikoloni. Wakoloni walitangulia kufika katika mabandari ya pwani wakatumia mara nyingi ma karaniaskari na watumishi kutoka eneo la pwani wakijenga vituo vyao barani. Watu hao walipeleka Kiswahili pande za bara.

Wajerumani waliamua kutumia Kiswahili kama lugha ya utawala katika Afrika ya Mashariki ya Kijerumani.

Hapo waliweza kutumia kazi ya wamisionari Wakristo wa awali, hasa Ludwig Krapfwaliowahi kufanya utafiti wa lugha na kutunga kamusi na sarufi za kwanza pamoja na kuunda mfumo wa kuandika Kiswahili kwa herufi za Kilatini.

Utawala wa kikoloni ulirahisisha mawasiliano kati ya wenyeji. Reli zilijengwa na wafanyakazi kutoka ma kabila mbalimbali walishirikiana. Waafrika walilazimishwa kulipa kodi kwa wakoloni, hivyo walitafuta kazi ya ajira.

Hasa katika ma shamba makubwa yaliyolima mazao ya biashara pia katika migodi ya Kongo watu wa makabila mengi walichanganyikana wakitumia hasa Kiswahili kati yao. Kwa namna hiyo lugha ilienea zaidi. Waingereza baada ya kuchukua Tanganyika kutoka kwa Wajerumani waliendela kutumia Kiswahili kama lugha ya utawala.To browse Academia. Skip to main content. Log In Sign Up. Method Samwel. Kabiero J. Seleman Baruapepe: aminamikina yahoo.

Hairuhusiwi kuiga, kunakili, kutafsiri, kupiga chapa au kukitoa kitabu hiki kwa jinsi yoyote ile bila idhini ya mchapishaji na Method Samwel. Hata hivyo, inaruhusiwa kuchukua vipande vifupi vya kitabu hiki kwa minajili ya kufanya marejeo na nukuu au kufanya mapitio.

Kwanza tuanze kwa kumshukuru Mungu, ambaye, kwa mtazamo wetu, ndiye huwapa watu afya njema na mawazo ya nini cha kufanya na nini cha kutofanya. Bila shaka Manani ndiye aliyetupa wazo la kuandika kitabu hiki na kututia nguvu kulitimiza wazo hilo japo haikuwa kazi rahisi kutimiza lengo letu kutokana na ugumu wa shughuli nzima ya uchapaji nchini Tanzania.

Pia tunawashukuru wazazi na walezi wetu ambao walitulea na kutusomesha hata tukapata maarifa haya ambayo leo tunayaweka kitabuni kama kumbukumbu kwa vizazi vijavyo.

swahili historia pdf

Zaidi ya hao, wapo ambao tumetumia maandiko yao katika kujielimisha juu ya ushairi wa Kiswahili, wale ambao walihariri kazi hii katika ngazi mbalimbali na pia wale waliotoa fedha kuhakikisha kitabu hiki kinachapishwa na kuwa na muonekano ulionacho. Hivyo tunawashukuru wanazuoni wote ambao maandiko yao yamenukuliwa katika kitabu hiki.

Kwa hakika maandiko yenu ndiyo yametoa dira ya andiko hili.

swahili historia pdf

Mlale salama peponi na Mola awape heri. Wengine tunaowashukuru hapa ni Prof. Hawa ndiyo walitulea tukiwa tunajifunza taaluma ya Kiswahili, ikiwa ni pamoja na ushairi wake.

Yeye ndiye aliyetoa fedha za kugharamia hatua kwa hatua uandazi wa kitabu hiki tangu uandishi na upangaji wa muswada, uhariri na uchapishaji kwa ujumla. Tunakushukuru sana kwa mapenzi yako katika lugha hii. Ni imani yetu kwamba tumekata kiu yako ya kuhakikisha ujuzi tulionao katika taaluma hii ya ushairi unawafikia watu wengi. Mwisho kabisa tuwashukuru wana familia wetu ambao kwa nyakati tofauti walitutia moyo na kutuvumilia tulipotingwa na kazi hii ya uandishi. Andiko hili liwapoze machungu na mjisikie kuhusika kipekee katika kuendeleza lugha hii adhimu ya Kiswahili.

Tunapenda kusisitiza kwamba tuliowashukuru hapa hawahusiki na udhaifu wowote utakaoonekana kitabuni.

Historia ya Kiswahili

Udhaifu huo, kama utaonekana, ni wetu wenyewe. Kinaanza kwa masuala ya kidhana, kinadharia, historia na maendeleo ya ushairi wa Kiswahili, mbinu za ufundishaji wa ushairi na Kiswahili kwa ujumla na kisha kumalizia kwa Diwani ya MEA.

Katika sehemu ya kwanza tumechambua kwa kina dhana ya ushairi, nadharia mbalimbali za chimbuko la ushairi, historia na maendeleo ya ushairi wa Kiswahili na jinsi ya kuufundisha ushairi wa Kiswahili pamoja na lugha yenyewe kwa ujumla.

The Swahili Language

Tuseme wazi hapa kwamba sehemu hiyo ilikuwa na changamoto kubwa kwani masuala kama hayo katika taaluma za sayansi ya Jamii, kama anavyobainisha Madumullahayana maelezo ya namna moja. Kuna maelezo mengi yanayokinzana kuhusu dhana, nadharia na historia na maendeleo ya Kiswahili. Kitabu hiki kimechunguza maelezo ya wanazuoni waliotangulia na kubainisha udhaifu wa maelezo hayo. Udhaifu huo ndiyo uliweka misingi ya maelezo yetu katika kitabu hiki tukijaribu kuondoa udhaifu husika.

Zaidi ya sehemu ya kwanza, kitabu hiki kina sehemu ya pili ambayo imepewa jina Diwani ya MEA. Katika sehemu ya kwanza tuliyoieleza awali ambayo inaitwa Nadharia, Maendeleo na Mwongozo kwa Walimu wa Kiswahili, tumetoa tu ufafanuzi wa dhana, nadharia, historia na mbinu mbalimbali zinazoweza kutumika katika utunzi na uchambuzi wa mashairi.

Zaidi ya kuwa kifupi cha majina ya waandishi, Diwani ya MEA inapanda mbegu za mapinduzi katika mioyo ya kila msomaji ili ziweze kumea.A postulated millennia-long series of migrations of speakers of the original proto-Bantu language group.

Attempts to trace the exact route of the migrations, to correlate it with archaeological evidence and genetic evidence, have not been conclusive. The Bantu traveled in two waves, and it is likely that the migration of the Bantu-speaking people from their core region in West Africa began around BCE.

His family ruled the Sultanate untilwhen it was replaced by the Arab family of Abu Moaheb. The latter was overthrown by a Portuguese invasion in They speak Swahili as their native language, which belongs to the Niger-Congo family. Swahili culture is the product of the history of the coastal part of the African Great Lakes region.

As with the Swahili language, Swahili culture has a Bantu core and has also borrowed from foreign influences. The Swahili people are mainly united under the mother tongue of Kiswahili, a Bantu language. British archaeologists assumed during the colonial period that Arab or Persian colonizers brought stone architecture and urban civilization to the Swahili Coast. Today we know that it was local populations that developed the Swahili coast.

Swahili architecture exhibits a range of influences and innovations, and diverse forms and histories interlock and overlap to create densely layered structures that cannot be broken down into distinct stylistic parts. Around the 8th century, the Swahili people began trading with the Arab, Persian, Indian, Chinese, and Southeast Asian peoples—a process known as the Indian Ocean trade.

As a consequence of long-distance trading routes crossing the Indian Ocean, the Swahili were influenced by Arabic, Persian, Indian, and Chinese cultures. During the 10th century, several city-states flourished along the Swahili Coast and adjacent islands, including Kilwa, Malindi, Gedi, Pate, Comoros, and Zanzibar.

These early Swahili city-states were Muslim, cosmopolitan, and politically independent of one another. They were also involved in the slave trade. These city-states began to decline towards the 16th century, mainly as a consequence of the Portuguese advent. Eventually, Swahili trading centers went out of business, and commerce between Africa and Asia on the Indian Ocean collapsed. Bythe sultanate was already fragmented into smaller states, many of which became protectorates of the Sultanate of Oman.

Despite its origin as a Persian colony, extensive inter-marriage and conversion of local Bantu inhabitants and later Arab immigration turned the Kilwa Sultanate into a diverse state not ethnically differentiable from the mainland. It is the mixture of Perso-Arab and Bantu cultures in Kilwa that is credited for creating Swahili as a distinctive East African culture and language.

Nonetheless, the Muslims of Kilwa whatever their ethnicity would often refer to themselves generally as Shirazi or Arabsand to the unconverted Bantu peoples of the mainland as Zanj or Khaffirs infidels.

The Kilwa Sultanate was almost wholly dependent on external commerce. Effectively, it was a confederation of urban settlements, and there was little or no agriculture carried on in within the boundaries of the sultanate. Grains principally millet and ricemeats cattle and poultryand other supplies necessary to feed the large city populations had to be purchased from the Bantu peoples of the interior.

Kilwan traders from the coast encouraged the development of market towns in the Bantu-dominated highlands of what are now Kenya, Tanzania, Mozambique, and Zimbabwe. The Kilwan mode of living was as middlemen traders, importing manufactured goods cloth, etc.

The exception was the coconut palm tree. The Swahili do not often use designs with images of living beings due to their Muslim heritage. Instead, Swahili designs are primarily geometric. The most typical musical genre of Swahili culture is taarab or tarabusung in the Swahili language.The Swahili language, is basically of Bantu African origin.

It has borrowed words from other languages such as Arabic probably as a result of the Swahili people using the Quran written in Arabic for spiritual guidance as Muslims. As regards the formation of the Swahili culture and language, some scholars attribute these phenomena to the intercourse of African and Asiatic people on the coast of East Africa.

The word "Swahili" was used by early Arab visitors to the coast and it means "the coast".

Historia ya tafsiri za Kiswahili za Biblia

Ultimately it came to be applied to the people and the language. Regarding the history of the Swahili language, the older view linked to the colonial time asserts that the Swahili language originates from Arabs and Persians who moved to the East African coast. Given the fact that only the vocabulary can be associated with these groups but the syntax or grammar of the language is Bantu, this argument has been almost forgotten.

It is well known that any language that has to grow and expand its territories ought to absorb some vocabulary from other languages in its way. A suggestion has been made that Swahili is an old language. The earliest known document recounting the past situation on the East African coast written in the 2nd century AD in Greek language by anonymous author at Alexandria in Egypt and it is called the Periplus of Erythrean Sea says that merchants visiting the East African coast at that time from Southern Arabia, used to speak with the natives in their local language and they intermarried with them.

Those that suggest that Swahili is an old language point to this early source for the possible antiquity of the Swahili language. Words from Other Languages. It is an undeniable truth that Arab and Persian cultures had the greatest influence on the Swahili culture and the Swahili language. To demonstrate the contribution of each culture into the Swahili language, take an example of the numbers as they are spoken in Swahili.

The Arabic word "tisa" actually replaced the Bantu word "kenda" for "nine". In some cases the word "kenda" is still used. The Swahili language also absorbed words from the Portuguese who controlled the Swahili coastal towns c. Some of the words that the Swahili language absorbed from the Portuguese include "leso" handkerchief"meza" table"gereza" prison"pesa" 'peso', moneyetc.

Swahili bull-fighting, still popular on the Pemba island, is also a Portuguese legacy from that period. The Swahili language also borrowed some words from languages of the later colonial powers on the East African coast - English British and German.

Swahilized English words include "baiskeli" bicycle"basi" bus"penseli" pencil"mashine" machine"koti" coatetc.

A Brief History of the Swahili Language

The Swahilized German words include "shule" for school and "hela" for a German coin. Spread into the Hinterland. For centuries, Swahili remained as the language for the people of the East African coast.Shajara ni mfumo unaokuletea masomo ya misa ya kila siku, sala mbalimbali za kanisa katoliki na historia za watakatifu kiganjani mwako ili uweze kusoma.

Read, highlight, and take notes, across web, tablet, and phone misale ya waumini ni kitabu kidogo ambacho kinawaletea wakatoliki wanaotumia lugha ya kiswahili matini ya sala na masomo kutoka biblia ya kikristo kadiri ya utaratibu wa misa za jumapili na sikukuu za kalenda ya liturujia ya mapokeo ya kiroma get this from a library!

Driver For Craig Mp3 Player. The bad despite the fact offers so many new features from the host machine to description from ingmar stein: book this page is automatically generated based on what facebook users are interested in, and not affiliated with or endorsed. Misale ya waumini misale ya waumini. Misale ya waumini pdf there are no bells and 3 or 4 checks per media center application for linux.

Get textbooks on google play. Misale ya waumini Gratis eBook Misale ya waumini misale ya waumini. Monolingual i have not seen any enjoy the competition or just no trace of it in reclaim several hundred megabytes of toleo jipya la misale ya waumini itatolewa ikiwa na tafsiri ya baba yetu! Dota Map 6. Misale Ya Waumini Pdf.Reblogged this on zswage. You are commenting using your WordPress. You are commenting using your Google account. You are commenting using your Twitter account.

You are commenting using your Facebook account. Notify me of new comments via email. Notify me of new posts via email. Kwa kuwa msamiati mwingi uliopo katika lugha ya Kiswahili unatokana na lugha ya kiarabu ni dhahiri kuwa lugha hii inatokana na kiarabu. Mjadala kuhusu asili ya Kiswahili umejadiliwa na wataalam mbalimbali na wametumia vigezo mbalimbali kuthibitisha madai yao.

swahili historia pdf

Wapo wanaodai kuwa Kiswahili ni kiarabu, wanaoshadidia dai hili, kigezo kimojawapo wanchokitumia ni kigezo cha msamiati, kwamba lugha ya Kiswahili ina msamiati mwingi wa kiarabu na kwa hiyo kwakuwa Kiswahili kina msamiati mwingi wa kiarabu basi pia Kiswahili ni kiarabu, kwa kweli dai hili halina mashiko.

Dhana hizo ni kama zifuatazo:. Fasili hii ni nzuri na inajitosheleza kwa maana kwamba jambo au kitu kinaweza kutokea kibahati kama ilivyo katika lugha au linaweza kuanzishwa. Msamiati kwa mujibu wa TUKI ni jumla ya maneno katika lugha. Fasili hii iko wazi kwamba jumla ya maneno yote katika lugha ndio huunda msamiati wa lugha husika. Wataalam wanaodai kuwa Kiswahili ni kiarabu kwa kutumia kigezo cha msamiati, hoja zao ni kama zifuatazo:.

Khalid anaendelea kusema kuwa Kiswahili kina msamiati mwingi wenye asili ya kiarabu. Hapa ni baadhi ya mifano ya msamiati wa Kiswahili wenye asili ya kiarabu kama alivyobainisha Khalid:. Lodh naye anasema kiasi kikubwa cha nomino za Kiswahili zimetokana na mizizi ya maneno ya kiarabu. Mifano ya maneno hayo ni kama yafuatayo:. Hata hivyo kigezo hiki cha msamiati kina udhaifu; Massamba ameonesha udhaifu wa kigezo hiki kuwa ni pamoja na kwamba:.

Kigezo cha msamiati peke yake hakijitoshelezi kuelezea kuwa Kiswahili ni kiarabu, walipaswa waangalie vigezo vingine kama vile kigezo cha kihistoria kwa kuchunguza masimulizi mbalimbali ya kale na kigezo cha kiisimu; katika kigezo hiki walipaswa kuchunguza fonolojia, mofolojiana sintaksia ya Kiswahili kwa kulinganisha na kiarabu na ndipo wangepata hitimisho sahihi la madai yao.

Vilevile kigezo hiki cha msamiati hakina mashiko kwa sababu lugha ina tabia ya kuathiriana, lugha huathiriana na lugha nyingine endapo kutakuwa na mwingiliano baina ya wanajamii lugha hizo.

Kwa mfano Kiswahili kimetokea kuathiriana na kiarabu kutokana na uhusiano uliokuwepo hapo zamani katika biashara kati ya waarabu na watu wa upwa wa Afrika Mashariki na hii ikapelekea msamiatia wa kiarabu kuingia katika lugha ya Kiswahili, hivyo kwa hoja hii hatuwezi kusema Kiswahili ni kiarabu kwa sababu msamiati wa kiarabu unaonekana katika lugha ya Kiswahili.

Hata hivyo si lugha ya kiarabu tu ambayo msamiati wake unaonekana katika lugha ya Kiswahili vilevile kunamsamiati wa lugha zingine za kigeni katika lugha ya Kiswahili kwa mfano, neno lenye asili ya kireno katika Kiswahili ni kama vile meza, leso pia yapo maneno yenye asili ya kijerumani kwa mfano schule kwa Kiswahili shule na maneno yenye asli ya kiingereza ni kama vile mashine, televisheni, sekondari, redio, kompyuta na maneno mengine yenye asli hiyo.

Pia kigezo hiki kinaonekana kuwa ni dhaifu kwa sababu hawakufanya utafiti katika nyanja zote za matumizi ya lugha kwa mfano msamiti unaotumika katika nyanja ya elimu, afya, utamaduni na kadhalika. Kwa hiyo madai haya yanaonekana kutokuwa na mashiko kwa ufinyu wa utafiti wake. Kutoka na kigezo hiki cha msamiati kutokuwa na mashiko kuhitimisha kuwa Kiswahili ni kiarabu, basi hatuna budi kusema kuwa Kiswahili sio kiarabu bali ni kibantu.

Katika kuthibitisha madai haya tutajikita zaidi katika kigezo cha kiisimu ambacho tunaamini kuwa ni kigezo pekee kinachoweza kutupatia taarifa sahihi kwani ni kigezo cha kisayansi lakini pia tutaangalia kwa ufupi vigezo ambavyo vinatoa ushahidi juu ya ubantu wa Kiswahili ambavyo ni ushahidi wa kihistoria, kiakiolojia na kiethinolojia.

Hawa walijadili ubantu wa Kiswahili kwa kutumia kigezo cha kiisimu, kihistoria na kiakiolojia. Mizizi ya msamiati wa msingi wa lugha za kibantu na Kiswahili hufanana kwa kiasi kikubwa, mifano ifuatayo huweza kuonesha ukweli huu. Katika mifano hiyo hapo juu tunaona mifano hiyo hapo juu tunaona kuwa mizizi maji, manche, minzi, manji inafanana kwa kiasi kikubwa, kwa hiyo huu ni ushahidi tosha kutuonesha kuwa kuna uhusiano wa kinasaba kati ya Kiswahili na lugha za kibantu.

Pia mofolojia ya Kiswahili na lugha za kibantu hufanana kwa kiasi kikubwa, yaani mfumo wa maumbo ya maneno ya lugha ya Kiswahili na lugha za kibatu hufanana. Kwa mfano, namna viambishi vinavyopachikwa katika mzizi wa maneno hufuata kanuni ileile kama inavyotumika katika lugha ya Kiswahili yaani viambishi vinaweza kupachikwa kabla au baada ya mzizi na uwa na uamilifu bayana.


Replies to “Swahili historia pdf”

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *